Go-Sakuramachi
From Wikipedia
Go-Sakuramachi (1740 – 1813) alikuwa mfalme mkuu wa 117 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Satoko. Mwaka wa 1762 alimfuata kaka yake, Momozono, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1771. Aliyemfuata ni mpwa wake, Go-Momozono.