Hans Buchner (Mtungaji muziki)
From Wikipedia
Hans Buchner (26 Oktoba, 1483 – Machi 1538) alikuwa mtungaji muziki na mpigakinanda kutoka nchi ya Ujerumani. Aliandika "Kitabu cha Msingi" (kwa Kijerumani: Fundamentbuch). Humo kitabuni alikusanya muziki kwa kinanda pamoja na maelezo ya upigakinanda.
[edit] Viungo vya nje
[[1]]