Hans Fischer
From Wikipedia
Hans Fischer (27 Julai, 1881 – 31 Machi, 1945) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alijihusisha na rangi, k.m. rangi za mimea (klorofili), za damu na za nyongo. Mwaka wa 1930 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.