Hans Spemann
From Wikipedia
Hans Spemann (27 Juni, 1869 – 12 Septemba, 1941) alikuwa mwanazuolojia na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Kwa mfano alitafiti maendeleo ya miili ya aina ya chura. Mwaka wa 1935 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.