Henry Dale
From Wikipedia
Henry Hallett Dale (9 Juni, 1875 – 23 Julai, 1968) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza hali ya kikemia ya nevi. Mwaka wa 1936, pamoja na Otto Loewi alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Pia alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.