Honiara
From Wikipedia
Honiara ni mji mkuu wa nchi ya Visiwa vya Solomon katika Melanesia mwenye wakazi 49,107 (1999).
Mji uko kwenye kisiwa cha Guadalcanal. Ulijengwa baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia mahali pa kituo cha kijeshi cha Marekani ukachukua nafasi ya mji mkuu wa awali wa Tulagi. Honiara imekuwa mji mkuu tangu 1952.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Honiara" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Honiara kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |