John Van Vleck
From Wikipedia
John Hasbrouck Van Vleck (13 Machi, 1899 – 27 Oktoba, 1980) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu, na usumaku. Mwaka wa 1977, pamoja na Philip Anderson na Nevill Mott alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.