Karne ya 7 KK
From Wikipedia
Karne ya 7 KK (=kabla ya Kristo) ni kipindi kuanzia mwaka 700 KK hadi mwisho wa 601 KK.
[edit] Wakati wa karne ya 7 KK
- Sarafu za kwanza zinazojulikana duniani zinatolewa Lydia kwenye pwani la magharibi ya Anatolia - wakati ule eneo la Wagiriki wa Kale
[edit] Matukio
- 607 KK - Wababeli wateka mji wa Yerusalemu wakichoma Hekalu ya Suleimani na kumaliza ufalme wa Yuda
[edit] Watu
- 604 KK: Nebukadreza II aanza utawala wake kama mfalme wa Babeli akimfuata babake Nabopolassar