Talk:Kasoko
From Wikipedia
Makala hii kweli inatofautisha maana? Ninavyoona mimi, inaeleza kwa jumla halafu inarejea kwa aina fulani ya kasoko, yaani kasoko ya volkeno. Ningeshauri kuondoa "template" ya 'maana'. --Oliver Stegen 15:25, 10 Februari 2007 (UTC)