Kimaasai
From Wikipedia
Kimaasai (au Kimaa) ni lugha ya Kiniloti nchini Kenya na Tanzania inayozungumzwa na Wamaasai. Lugha huandikwa na herufi za Alfabeti ya Kilatini.
[edit] Viungo vya nje
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=mas Orodha ya Ethnologue
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Tovuti ya Chuo Kikuu cha Göteborg, Uswidi
- http://www.isp.msu.edu/AfrLang/language.php?id=38 Kitabu cha Mtandao kuhusu Lugha za Kiafrika
[edit] Marejeo
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Hinde, Hildegard. 1901. The Masai language: grammatical notes together with a vocabulary. Cambridge: University Press. Kurasa 75.
- König, Christa. 1993. "Aspekt im Maa". Afrikanistische Monographien 3. Köln: Institut für Afrikanistik, Chuo Kikuu cha Köln. Kurasa 383.
- Mol, Frans. 1995. Lessons in Maa: a grammar of Maasai language. Lemek (Kenya): Maasai Centre Lemek. Kurasa 317.
- Mol, Frans. 1996. Maasai language and culture: dictionary. Lemek (Kenya): Maasai Centre Lemek. Kurasa xvii, 411.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Kimaasai" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kimaasai kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |