Korogwe (mji)
From Wikipedia
Korogwe ni mji upande wa Kaskazini-Mashariki wa Tanzania ambao ni makao makuu ya Wilaya ya Korogwe. Mwaka wa 2002, idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 44,000. Pia ni makao makuu ya Dayosisi ya Kanisa la Anglikana ya Tanga.