Manila
From Wikipedia
Manila ni mji mkuu wa Ufilipino kwenye kisiwa cha Luzon kando la kidaka cha Manila. Pamoja na miji 16 mingine ni sehemu ya mkoa wa jiji la Metro Manila. Mji una wakazi milioni 1.6 na rundiko la mji wote takriban milioni 15.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Manila" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Manila kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |