Talk:Mkoa wa Dar es Salaam
From Wikipedia
Nimefuta "Hapo zamani jiji hili lilijulikana kwa jina la Mzizima" - jiji haliwahi kuitwa Mzizima. Mzizmia ilikuwa kijiji katika eneo Daressalaam ilipoanzishwa na Sultani wa Zanzibar. Swali hili liingine katika makala ya mji, si ya mkoa. --Kipala 16:16, 28 Aprili 2006 (UTC)