Monrovia
From Wikipedia
Monrovia ni mji mkuu wa Liberia. Eneo uliko mji huu mwanzoni liliitwa Cape Mesurado na Wareno katika miaka ya 1560. Eneo hili lilianzwa kujenga mji mwaka 1822 na chama cha American Colonization Society ikiwa ni makazi ya watu waliokombolewa toka utumwani nchini Marekani. Jina Monrovia lilitokana na jina la Rais wa Marekani James Monroe.
Makala hiyo kuhusu "Monrovia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Monrovia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Makala hiyo kuhusu "Monrovia" ni fupi mno. Inahitaji kupanushwa karibuni. |
Categories: Mbegu | Fupi | Liberia | Miji ya Liberia | Miji Mikuu Afrika | Monrovia