Nikolai Basov
From Wikipedia
Nikolai Gennadiyevich Basov (14 Desemba, 1922 – 1 Julai, 2001) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua leza. Mwaka wa 1964, pamoja na Aleksander Prokhorov na Charles Townes alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.