Nuku'alofa
From Wikipedia
Nuku'alofa ni mji mkuu wa Tonga mwenye wakazi 22,400 (1996). Iko Tongatapu ambayo ni kisiwa kikubwa cha nchi.
Mji ulianzishwa mwaka 1795 pamoja na jumba la kifalme. Mwanzo wa karne ya 19 boma likaongezwa. Imetangazwa kuwa mji mkuu mwaka 1845.