Palikir
From Wikipedia
Palikir imekuwa mji mkuu wa Shirikisho la Mikronesia tangu 1989. Iko kwenye kisiwa cha Pohnpei. Idadi ya wakazi ni mnamo 6,444 (sensa ya 2000). Anwani ya kijiografia ni 6°55'N 158°9'E
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Palikir" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Palikir kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |