Ronald Ross
From Wikipedia
Ronald Ross (13 Mei, 1857 – 16 Septemba, 1932) alikuwa daktari kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza virusi visababishavyo ugonjwa wa malaria. Mwaka wa 1902 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1911 alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.