Roseau
From Wikipedia
Roseau ni mji mkuu wa nchi ya kisiwani ya Dominica katika Karibi. Ni mji mdogo mwenye wakazi 14,000.
Iko upande wa magharibi wa kisiwa (kwenye 15°18'N - 61°23'W). Mji ulianzishwa na Ufaransa wakati wa karne ya 18 una majengo ya zamani za Wafaransa na pia za kisasa.
Makala hiyo kuhusu "Roseau" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Roseau kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |