Salim Ahmed Salim
From Wikipedia
Salim Ahmed Salim (amezaliwa 23 Januari, 1942) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania. Kuanzia tarehe 24 Aprili, 1984 hadi tarehe 5 Novemba, 1985 alikuwa Waziri Mkuu wa tano wa Tanzania. Alifuatwa na Joseph Sinde Warioba.