Shomoro
From Wikipedia
Shomoro | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Shomoro mwekundu
|
||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Shomoro ni ndege wadogo wa jenasi Passer ndani ya familia Passeridae amboa wana rangi ya nyeusi, nyeupe, majivu na kahawia. Ndege hawa huitwa korobindo pia, lakini jina hili litumiki afadhali kwa kuita ndege wa jenasi Petronia. Shomoro wenye kichwa kijivu huitwa jurawa. Ndege hawa wana domo fupi na nene lifaalo kula mibegu, lakini hula wadudu wadogo pia hasa wanapokuwa vifaranga. Kwa asili shomoro wanatokea Ulaya, Afrika na Asia, lakini watu wamewaletea Australia na Marekani.
[edit] Spishi za Afrika
- Passer castanopterus, Shomoro Somali (Somali Sparrow)
- Passer cordofanicus, Shomoro wa Kordofani (Kordofan Rufous Sparrow)
- Passer diffusus, Shomoro Kusi au Jurawa Kusi (Southern Grey-headed Sparrow)
- Passer domesticus, Shomoro-kaya (House Sparrow)
- Passer eminibey, Shomoro Kahawiachekundu (Chestnut Sparrow)
- Passer gongonensis, Jurawa Domo-nene (Parrot-billed Sparrow)
- Passer griseus, Shomoro Jurawa au Jurawa (Grey-headed Sparrow)
- P. g. ugandae, Jurawa wa Uganda (Uganda Sparrow)
- Passer hispaniolensis, Shomoro wa Hispania (Spanish Sparrow)
- Passer iagoensis, Shomoro wa Cabo Verde (Iago or Cape Verde Sparrow)
- Passer insularis, Shomoro wa Socotra (Socotra Sparrow)
- Passer luteus, Shomoro Manjano (Sudan Golden Sparrow)
- Passer melanurus, Shomoro Uso-mweusi (Cape Sparrow or Mossie)
- Passer motitensis, Shomoro Mkubwa (Rufous Sparrow)
- Passer rufocinctus, Shomoro Mwekundu (Kenya Rufous Sparrow)
- Passer shelleyi, Shomoro wa Shelley (Shelley's Rufous Sparrow)
- Passer simplex, Shomoro-jangwa (Desert Sparrow)
- Passer suahelicus, Jurawa Swahili (Swahili Sparrow)
- Passer swainsonii, Jurawa wa Swainson (Swainson's Sparrow)
[edit] Spishi za Ulaya na Asia
- Passer ammodendri (Saxaul Sparrow)
- Passer euchlorus (Arabian Golden Sparrow)
- Passer flaveolus (Pegu or Plain-backed Sparrow)
- Passer italiae (Italian Sparrow)
- Passer moabiticus (Dead Sea Sparrow)
- Passer montanus (Tree Sparrow)
- Passer pyrrhonotus (Sind Sparrow)
- Passer rutilans (Cinnamon or Russet Sparrow)
- Passer zarudnyi (Asian Desert Sparrow)