St. John's (Antigua na Barbuda)
From Wikipedia
St John's ni mji mkuu wa Antigua na Barbuda katika Antili Ndogo za Bahari ya Karibi (Amerika ya Kati). Mji uko kwenye kisiwa cha Antigua. Kuna wakazi 24,226 (mwaka 2000) hivyo ni pia mji mkubwa kabisa wa nchi ndogo.
[edit] Viungo vya Nje
- Ramani ya St. John's kwa Caribbean-On-Line.com