Vaduz
From Wikipedia
Vaduz (tamka: faduts) ni mji mkuu wa utemi wa Liechtenstein na makao makuu ya bunge la nchi. Iko kando la mto Rhine. Kuna wakazi 5,248. Mahali pake ni 47°8' N, 9°31' E.
Wakazi walio wengi ni wakatoliki. Kuna Askofu Mkuu wa kanisa katoliki.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Vaduz" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Vaduz kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |