Val Fitch
From Wikipedia
Val Logsdon Fitch (amezaliwa 10 Machi, 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu na uhusiano wake na wakati. Mwaka wa 1980, pamoja na James Cronin alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.