Victor Grignard
From Wikipedia
François Auguste Victor Grignard (6 Mei, 1871 – 13 Desemba, 1935) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Alitafiti usanisi na hasa uunganishaji wa kaboni. Mwaka wa 1912, pamoja na Paul Sabatier alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.