Wahome Mutahi
From Wikipedia
Wahome Mutahi (Oktoba 24, 1954 – Julai 22, 2003) alikuwa mwandishi mpendwa sana katika Kenya. Aliitwa Whispers kama jina la "column" aliyoiandika kwa The Daily Nation. Aliandika pia tamthilia na vitabu. Alikuwa mtu mwenye siasa, na mhakiki mkali, lakini kila wakati alitumia ucheshi.