Wapare
From Wikipedia
Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini ya nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Wapare" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wapare kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |