Ward Cunningham
From Wikipedia
Howard G. "Ward" Cunningham ni mgunduzi wa programu ya wiki ambayo ndio inatumika katika miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa kamusi elezo hii. Cunningham alizaliwa mwezi Mei 1949 nchini Marekani.
Categories: Mbegu | Teknolojia | Wagunduzi | Wiki