Warungu
From Wikipedia
Warungu ni kabila kutoka eneo la kusini-magharibi ya Tanzania na kaskazini-mashariki ya Zambia. Mwaka 1987 idadi ya Warungu nchini Tanzania ilikadiriwa kuwa 34,000. Nchini Zambia, idadi ya Warungu haijakadiriwa peke yao, lakini mwaka 1993 idadi ya Warungu pamoja na Wamambwe ilikadiriwa kuwa 262,800 [1].
Kilungu, lugha ya Warungu, na Kimambwe ni lahaja za lugha moja.
Makala hiyo kuhusu "Warungu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Warungu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |