Wasagara
From Wikipedia
Wasagara ni kabila kutoka eneo la kati ya nchi ya Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wasagara ilikadiriwa kuwa 79,000 [1]. Lugha yao ni Kisagara.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Wasagara" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wasagara kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |