Watumbuka
From Wikipedia
Watumbuka ni kabila kutoka eneo la mpaka baina ya Malawi, Tanzania, na Zambia. Mwaka 2001 idadi ya Watumbuka ilikadiriwa kuwa 940,000 katika Malawi na 392,000 nchini Zambia, lakini hakuna idadi ya Watumbuka wanaoishi Tanzania [1].