Willem Einthoven
From Wikipedia
Willem Einthoven (21 Mei, 1860 – 29 Septemba, 1927) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza maswali ya umeme wa moyo na kuunda mbinu za kuupima. Mwaka wa 1924 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.