Astana
From Wikipedia
Astana (Kikazakhi: Астана, Kiajemi: آستانه) ni mji mkuu wa Kazakhstan. Kuna wakazi 600,000 (mwaka 2004).
Mji uliitwa kwa jina "Akmola" ukateuliwa mwaka 1997 kuwa mji mkuu badala ya Almaty. Jina jipya la "Astana" lamaanisha "mji mkuu". Uhamisho wa mji mkuu umesababishwa na nia ya kupeleka makao makuu ya serikali katika moyo wa nchi ilhali Almaty iko kando kabisa mpakani wa Kirgizia.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Astana" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Astana kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |