Chuck D
From Wikipedia
Chuck D alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Carlton Douglas Ridenhour. Alizaliwa 1 Agosti, 1960 karibu miji ya New York. Alikuwa anapiga muziki wa Rap and Hip hop.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Chuck D" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Chuck D kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |