Dakika
From Wikipedia
Dakika ni kipimo cha wakati. Si kipimo cha SI kamili kama ilivyo sekundi. Dakika ni sehemu ya 60 ya saa moja. Dakika yenyewe hugawiwa kwa sekundi 60.
Makala hiyo kuhusu "Dakika" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Dakika kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |