Jaroslav Seifert
From Wikipedia
Jaroslav Seifert (23 Septemba, 1901 – 10 Januari, 1986) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Ucheki. Mwaka wa 1984 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Cookie Policy Terms and Conditions >