Kamusi ya Kiswahili sanifu
From Wikipedia
KKS ni kifupi cha "Kamusi ya Kiswahili sanifu" iliyotungwa na wataalamu wa TUKI kwenye chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1981.
Kamusi hii inakusanya maneno ya Kiswahili sanifu na kuyaeleza katika lugha ya Kiswahili yenyewe.
[edit] Marejeo
- Kamusi ya Kiswahili sanifu. Dar es Salaam, Tanzania: Oxford University Press. 1981.