Michail Aleksandrovich Sholokhov
From Wikipedia
Mikhail Aleksandrovich Sholokhov (24 Mei, 1905 – 21 Februari, 1984) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Urusi. Hasa aliandika riwaya, k.m. "Don, Mto wa Kimya" (kwa Kirusi Tikhy Don) iliyotolewa katika majuzuu manne miaka ya 1928-40. Mwaka wa 1965 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.