Nevill Mott
From Wikipedia
Nevill Francis Mott (30 Septemba, 1905 – 8 Agosti, 1996) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza upitishaji wa umeme, na usumaku. Mwaka wa 1962 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza. Mwaka wa 1977, pamoja na Philip Anderson na John Van Vleck alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.