Vistula (mto)
From Wikipedia
Vistula Kipoland: Wisła |
|
---|---|
|
|
Chanzo | Milima ya Beskidi |
Mdomo | Bahari ya Baltiki |
Nchi | Poland |
Urefu | 1,047 km |
Kimo cha chanzo | 1,106 m |
Mkondo | 1,054 m³/s |
Eneo la beseni | 194,424 km² Nchi za beseni: Poland, Ukraine, Belarus, Slovakia |
Vistula (Kipoland: Wisła tamka: viswa) ni mto mkubwa nchini Poland mwenye urefu wa 1047 km.
Chanzo chake ni katika milima ya Beskidi inaishia katika Bahari Baltiki. Inapita kwenye miji mikubwa ya Krakov na Warshawa.