29 Februari
From Wikipedia
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
29 Februari ni siku ya pekee katika Kalenda ya Gregori kwa sababu haipo kila mwaka.
Inatokea tu kila mwaka wa nne kama namba ya mwaka inagawiwa kwa 4 kama vile 2004, 2008, 2012. Lakini haipo tena katika kila mwaka ambao namba yake hugawiwa kwa 100 kama vile miaka 1800, 1900, 2100 isipokuwa ipo tena katika miaka ambayo namba hugawiwa kwa 400 kama vile 1600, 2000, 2400, 2800.
[edit] Matukio
- 1952 - Kisiwa cha Helgoland kinarudishwa chini ya utawala wa Ujerumani.
- 1960 - Mtetemeko wa ardhi inaharibu mji wa Agadir nchini Moroko, watu 10,000 - 15,000 wanakufa.