Dili
From Wikipedia
Dili ni mji mkuu wa Timor ya Mashariki mwenye wakazi 150,000.
Mji uko upande wa kaskazini ya kisiwa cha Timor una bandari kuu la nchi pamooja na uwanja wa ndege wa kimatifa. Ni pia mahali pa chuo kikuu cha Timor ya Mashariki.
Mji ulianzishwa na Wareno mnamo mwaka 1520 ukawa makao makuu ya koloni ya Kireno. Uhuru wa nchi ulitangazwa hapa 1975 uliofuatwa na uvamizi wa Indonesia. Vita ya ukombozi ilileta uharibifu mwingi.
Tangu 20 Mei 2002 Dili ni mji mkuu wa Timor ya Mashariki huru.
[edit] Viungo vya Nje
Makala hiyo kuhusu "Dili" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Dili kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |