Fizikia
From Wikipedia
Fizikia (kutoka kigiriki, φυσικός (physikos), "maumbile", na φύσις (physis), "kiumbo") ni sayansi inayohusu maumbile ya Dunia, ambayo inahusu asili ya viungo vya ulimwengu.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Fizikia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Fizikia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |