Guinea Bisau
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Unidade, Luta, Progresso (Kireno: Umoja, Mapambano, Maendeleo) |
|||||
Wimbo wa taifa: Esta é a Nossa Pátria Bem Amada (Hii ni nchi yetu tunayoipenda) | |||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Bisau 1 |
||||
Mji mkubwa nchini | |||||
Lugha rasmi | Kireno | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri João Bernardo Vieira Aristides Gomes |
||||
Uhuru kutoka Ureno |
- Ilitangazwa 24 Septemba, 1973 - Ilikubaliwa 10 Septemba, 1974 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
36,120 km² (ya 133) 22.4 |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
1,416,027 (ya 151) 1,345,479 39.2/km² (ya 130) |
||||
Fedha | Franki ya CFA (XAF ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+0) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .gw | ||||
Kodi ya simu | +245 |
||||
1Note: Rais (mstaafu)Kumba Ialá aliwahi kutangaza mji mkuu utahamishwa kwenda Buba lakini hakuna dalili za utekelezaji hadi sasa. |
Guinea-Bissau (pia: Ginebisau) ni nchi ndogo katika Afrika ya Magharibi. Iko mwambaoni wa Bahari Atlantiki ikipakana na Senegal upande wa kaskazini na Guinea upande wa kusini.
Zamani ilikuwa koloni ya Ureno wa Guinea ya Kireno ikaongeza jina la mji mkuu wake kuwa Guinea Bisau kwa kusidi la kuitofautisha na nchi jirani ya Guinea.
Contents |
[edit] Jiografia
Guinea Bisau ni kati ya nchi ndogo sana za Afrika; takriban 22% ni visiwa na bahari. Sehemu ya bara ni tambarare. Funguvisiwa ya Bissagos yenye visiwa 77 iko karibu na pwani.
[edit] Miji
Miji mikubwa zaidi ya Guinea Bisau ni: Bisau wakazi 388.028, Bafatá wakazi 22.521, Gabú wakazi 14.430, Bissorã wakazi 12.688, Bolama wakazi 10.769 na Cacheu Einwohner 10.490.
[edit] Watu
[edit] Dini
Takriban 50 % Waislamu, 40 % wafuasi wa dini asilia, 10 % Wakristo
[edit] Makabila
Waafrika 99% (Balanta 30%, Fula 20%, Manjaca 14%, Mandinka 13%, Papel 7%), Wazungu na hotara chini ya 1%
[edit] Historia
Nchi za Afrika | ![]() |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |