Henrik Pontoppidan
From Wikipedia
Henrik Pontoppidan (24 Julai, 1857 – 21 Agosti, 1943) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Hasa aliandika riwaya juu ya maisha katika nchi yake. Mwaka wa 1917, pamoja na Karl Adolph Gjellerup alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.