Joshua Lederberg
From Wikipedia
Joshua Lederberg (amezaliwa 23 Mei, 1925) ni mwanajenetiki kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza jeni za chembe hai. Mwaka wa 1958, pamoja na George Beadle na Edward Tatum alikuwa mshindi wa ‘’’Tuzo ya Nobel ya Tiba’’’.