Kaledonia Mpya
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: La Marseillaise | |||||
Mji mkuu | Nouméa |
||||
Mji mkubwa nchini | Nouméa | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa | ||||
Serikali | (Eneo la ng'ambo la Ufaransa) Jacques Chirac Michel Mathieu Marie-Noëlle Thémereau |
||||
Eneo la ng'ambo la Ufaransa {{{established_events}}} |
{{{established_dates}}} | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
18,575 km² (ya 154) -- |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Septemba 2004 sensa - Msongamano wa watu |
237,000 (ya 182) 230,789 13/km² (ya 200) |
||||
Fedha | CFP franc (XPF ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+11) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .nc | ||||
Kodi ya simu | +687 |
Kaledonia Mpya (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie - nuvel kaledoni) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa katika bahari ya Pasifiki. Kisiwa kikubwa cha Grande Terre pamoja na visiwa vingine ni sehemu ya Melanesia. Jumla la eneo la visiwa vyote ni 18,575 km² na kuna wakazi 230,789. Mji mkuu ni Nouméa. Hadi sasa pesa ni Franc ya pasifiki lakini kuna majidiliano kutumia Euro jinsi ilivyo Ufaransa bara.
Watu wa Kaledonia mpya watapiga kura mwaka 2014 kama watapendelea kujitegemea kama nchi huru au kuendelea kama sehemu ya Ufaransa.