Kongo
From Wikipedia
Kongo ni jina la kutaja vitu mbalimbali:
- Mto wa Kongo ambao ni kati ya mito mikubwa zaidi ya Afrika na ya dunia; pia eneo la beseni yake
- Nchi mbili katika Afrika ya kati:
-
- Jamhuri ya Kongo (mji mkuu Brazzaville, kabla ya uhuru "Kongo ya Kifaransa")
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (mji mkuu Kinshasa, kabla ya uhuru "Kongo ya Kibelgiji")
- Ufalme wa Kongo uliokuwa dola kubwa katika Angola ya Kaskazini na Kongo ya Magharibi wakati wa karne 14-17 BK.
- Kongo > Bakongo, jina la kabila ya Kibantu yenye watu milioni 5 katika Kongo, Angola na Gabun.
- Kongo > Kikongo, lugha ya Bakongo
- Mlima wa Kongo katika nchi ya Japani.
- "Kongo" imekuwa jina la meli za kijeshi huko Japani kutokana na mlima huu.