Leon Cooper
From Wikipedia
Leon Cooper (amezaliwa 28 Februari, 1930) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya upitishaji umeme. Mwaka wa 1972, pamoja na John Bardeen na Robert Schrieffer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.