Mamoudzou
From Wikipedia
Mamoudzou ni mji mkuu wa eneo la ng’ambo la Ufaransa la kisiwa cha Mayotte. Iko kwenye kisiwa kikuu cha Mahore. Kuna takriban wakazi 45,000.
[edit] Utawala
Mji una vijiji sita pamoja na kitovu cha mji mwenyewe, ndivyo Kawéni (hapa kuna viwanda), Mtsapéré, Passamainti, Vahibé, Tsoundzou I na Tsoundzou II.
Eneo lake hutawaliwa katika wilaya tatu za Mamoudzou I, Mamoudzou II na Mamoudzou III.
[edit] Wakazi
1991 | 1997 | 2002 | |||
---|---|---|---|---|---|
20 307 | 32 733 | 45 485 | |||
Namba kamili zimepatikana tangu 1991 |
Village | 1997 | 2002 |
---|---|---|
Kavani | 3 948 | 5 488 |
Kaweni | 6 206 | 9 604 |
Mamoudzou | 5 666 | 6 533 |
Mtsapéré | 6 979 | 10 495 |
Passamainty | 5 173 | 6 008 |
Tsountsou 1 | 2 093 | 3 058 |
Tsountsou 2 | 574 | 1 063 |
Vahibé | 2 135 | 3 236 |